Logo

WeBible

17. Waamuru watu walio matajiri katika ...

1 Timotheo

Chapter 6 : Verse 17

17 / 21

Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.

1 Timotheo 6:17